Msanii wa Bongo Fleva Mark 'Makamua' Paul leo 29 April 2012 ameandika Facebook kuwa yeye na pombe basi tena..
Hivi ndivyo alivyoandika "ninapenda kusema kuwa ninafuraha kwa maamuz yangu ya kuacha kilevi cha aina yoyote,4sake f my life n my family!!may God helpmi koz peke yangu ctaweza.mwendo wa vitu vitamu tuh na vyakutoa shavu ha ha ha!"
Haya kaka,all the best..
IDADI YA WATALII YAPAA MAPANGO YA AMBONI YAFIKIA 19,000
-
Na Oscar Assenga,TANGA
IDADI ya Watalii wa Ndani na Nje ya Nchi imezidi kuongezaka katika Mapango
ya Kihistoria ya Amboni Jijini Tanga katika kipindi cha k...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment