Barabara za juu zanukia
Serikali ya jamuhuli ya muungano ya Tanzania imeingia mkataba na kampuni ya ukandarasi ya kijerumani ya STRABERG wa shilingi bilioni 220 katika ujenzi wa barabara ya kilomita 21 na barabara zipitazo juu tano katika mradi ya kupunguza foleni katika mkoa wa Dar Es Salaam
Waziri wa ujenzi na miundombinu Mheshimiwa Dr John Magufuli alieleza hili jana na ambapo alisema kazi hiyo itaanza baada ya wiki mbili na ambapo barabara itapanuliwa kuanzia kivukoni mpaka kimara na barabara za juu yaani flyover zitajengwa Tazara,Ubungo,magomeni,fire,kamata na makutano ya barabara ya chang'ombe hii ni kupunguza adha ya msongamano wa magari.Mhandisi huyo ameahidi kumaliza kazi aliyopewa ndani ya miezi 36
MZIZE ABEBA TUZO YA GOLI BORA LA MWAKA CAF 2025
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Mchezaji wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans na timu ya Taifa ya
Tanzania, Clement Mzize amefanikiwa kuchukua tuzo y...
7 hours ago





No comments:
Post a Comment