Mbwa mwenye sura mbaya duniani afariki dunia akiwa na miaka 15
Mbwa huyo aliyepewa jina la Yuda amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 15 ambaye alichati ya kuwa mbwa mbaya duniani ameaga dunia jumamosi machi 10 2012.Mmiliki wa mbwa hiyo Terry Schumacher alituma email kwa moja ya makampuni ya magazeti nchini humo(China) na kueleza kuwa alifariki akiwa usingizini usiku wa kuamkia tarehe 10 machi 2012
MZIZE ABEBA TUZO YA GOLI BORA LA MWAKA CAF 2025
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Mchezaji wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans na timu ya Taifa ya
Tanzania, Clement Mzize amefanikiwa kuchukua tuzo y...
7 hours ago





No comments:
Post a Comment