Katibu mkuu wa umoja wa nchi za Afrika Mashariki Bwn Richard Sezibera ameeleza hayo leo kweye ripoti yake,kuwa kati ya nchi hizo tano Tanzania inaongoza kwa vikwazo vingi vya kibiashara.
Nchi zinazifuata ni Kenya,Uganda na Burundi.Huku Rwanda ikiwa haina kikwazo chochote kile.
Aidha ripoti hiyo ilionyesha vikwazo vimekuwa vingi na inabidi kupunguza ili kufanikisha dhana na malengo ya umoja huo.
Madhara ya vikwazo hivyo ni kuchelewa kwa mizigo inayoagizwa nje ya nchi,kodi mbalimbali na gharama za usafirishaji n.k
Wauguzi Watatajwa Nguzo ya Uchumi wa Dola Trilioni Moja ifikapo 2050
-
UBORA wa rasilima watu( Afya na Maarifa) ndio sarafu ya dunia kwa sasa na
hivyo kete muhimu kwa Tanzania kujiunga na Mataifa tajiri mwaka 2050(
Trilio...
9 hours ago





No comments:
Post a Comment