Mamlaka ya Hali ya hewa Tanzania imetangaza kuwepo kwa upepo mkali aina ya Tsunami maeneo ya pwani za bahari ya Hindi.
Aidha wananchi wanaoishi maeneo ya ukanda wa Bahari na wanaofanya shughuli mbali mbali kama usafiri na uvuvi kusitisha shughuli hizo ili kunusu maisha yao.
Hivi ni jinsi anga la baadhi ya maeneo ya Dar Es Salaam linavyooneka
Wale ndugu zangu tunaoishi Mabondeni hebu tuhame na sisi,maana hatujui ni kiasi gani hii mvua itanyesha.
Shughuli za usafirishaji za Pantoni eneo la kigamboni zimesitishwa mpaka sasa na wavuvi pia wameshauriwa kutofanya shughuli zao kwa muda huu.Saa kumi na moja ndio saa linalotarajiwa kwa Tsunami hiyo itatokea.
Tuombe Mungu atusaidie na kutuepusha na Balaa hilo.
MZIZE ABEBA TUZO YA GOLI BORA LA MWAKA CAF 2025
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Mchezaji wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans na timu ya Taifa ya
Tanzania, Clement Mzize amefanikiwa kuchukua tuzo y...
7 hours ago






No comments:
Post a Comment