Hatutatoa updates kwa kipindi cha siku kadhaa kuanzia leo
Hii yote ni kuboresha blogu yetu,iwe bomba zaidi
Na sababu flani flani zilizo nje ya uwezo wetu...
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
MRADI WA KIJANA TOGORA KUFIKIA VIJANA ZAIDI YA 1000 JIJINI TANGA
-
Na Oscar Assenga, TANGA
MRADI wa Kijana Togora tunakusikiliza unaotekeleza na Taasisi ya Afya Cheki
chini ya Programu ya Tanga Yetu unaofadhiliwa na Botn...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment