Kesho Jumanne Tarehe 9 Aprili ndio siku atakayozikwa aliyekuwa Muigizaji maalufu wa Filamu Nje na ndani ya Tanzania Maehemu Steven Kanumba maeneo ya Kinondoni.
Heshima za mwisho za kuaga mwili wa marehemu Kanumba zitafanyika maeneo ya Leaders Club Kinondoni na mazishi yatakuwa makaburi ya Kinondoni
Mwili utawasili Leaders mishale ya saa nne asubuhi,hivyo watu wanashauriwa kuwepo maeneo yale mida ya saa tatu za asubuhi.Vilevile polisi wameeleza kuwa bara bara ya Kinondoni itafungwa kwa muda wote wa shughuli hiyo.
Aidha uchunguzi juu ya kifo chake bado unaendelea,"Mtuhumiwa Lulu hataruhusiwa kuwepo kwenye mazishi ya kanumba kisheria,"Alieleza RPC
SANGU: BODI YA WADHAMINI WCF KUTEKELEZA DIRA 2050
-
Na. OWM-KAM – Dodoma
Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) imetakiwa kuweka
mikakati ya kuanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maende...
1 hour ago



No comments:
Post a Comment