Maisha ni kupambana tuu,mpaka kieleweke na tusiwa wepesi wa kukata tamaa.Pale tunapoona safari ni ngumu na tunakaribia kukata tamaa ujue mafanikio ndio yanakaribia.
'Work hard and become a Leader,be lazy and never succeed.'Proverbs 12:24
Vyuo nje ya nchi kutoa ufadhili wanafunzi wa Tanzania
-
-Fursa za elimu ya juu kimataifa sasa kupatikana Dar
Na Mwandishi Wetu
WAKALA wa Elimu Nje ya nchi Global Education Link inatarajia kuwakutanisha
wanafunz...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment