University Of Dar Es Salaam ndio ilikuwa na Banda kubwa kuliko yote
Mzumbe University nao walikuwepo
College yetu ya Mjini nao walikuwepo mjengoni
UDOM nao hawakuwa mbali kuhakikisha nao hawapitwi
Shule ya Waandishi wa habari ndio hiyo,usione vinaelea ujue vimeudwa
SAUT nao walikuwepo
IFM chuo karibu na Ikulu nao walikuwepo
The Mwalimu Nyerere Memorial Academy,Unakifahamu Chuo hiki vizuri??
Zamani kilikuwa kinaitwa Ng'amboni kama sikosei,vile vile ni Chuo kilicho anzishwa na Mwl.Nyerere kwa nia ya kuwa chuo kitakacho fundisha viongozi mbali mbali watakao ongoza nchi yetu moja wa viongozi hao ni Waziri wetu Mkuu Mh.Pinda, ila baadaye kukatokea mkanganyiko flani flani na Chuo hicho kuwa Chuo kikuu huria.
Tanzania kweli tumepiga hatua,vyuo vya sayansi vilikuwa ni vya kutosha tu,Its very Impresing
Huyu ni Panya Buku,angalia vizuri..
Muhimbili University hao na mambo yao kwa juu
Ardhi University wakiwa na Sample za za Majengo mbali mbali ali maarufu kama frames
Big up sana kwa Serikali na wananchi wapenda maendeleo na kuleta Vyuo vingi na mbalimbali
Banda la TCU lilikuwa limejaa watu wengi na kunifanya nijilize maswali mengi sana,yaani wanafunzi walikuwa wana maswali mengi kweli kwenye banda hili.
Nahisi Loan Board ingetoa semina maalumu kwa wanafunzi na waweze kujua mpango mzima wa kupata mikopo na vigezo gani vinahitajika kwa mtu kupata mkopo na ni wa asilimia ngapi.
No comments:
Post a Comment