Photobucket

Monday, May 7, 2012

Kwa hali hii kipindu pindu kweli kitaisha??

Mama lishe pande za mwenge

Pembeni kupo kama hivi,Maji machafu,magari yanapita ikiwemo moshi na Vumbi linalotimuliwa na magari hayo.
Usalama wa wananchi uko wapi?
Je wanajua athari zake?
Kama wanajua kwanini wanapuuzia
Ni nani wakulaumiwa??

No comments:

Post a Comment