Photobucket

Saturday, June 2, 2012

Kuwanyanyapaa walemavu sio vizuri jamani

Ni maeneo ya Ubungo kwenye kituo cha daladala ambapo konda wa gari hii alimzui mlemavu huyu wa macho akiwa na binti anayemsahidia na konda huyokukataa kuingia kwenye daladala yake.Sababu ya tukio hilo ni ati"hawa watu wakishaingia kwenye daladala wanadai kuwa hawana nauli,hivyo wamevumiliwa vya kutosha"


No comments:

Post a Comment