Kuna sheria zinawabana Takukuru kufanya kazi yake
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru inakumbana na changamoto mbalimbali katika kufanya kazi yake.Mambo hayo yalitajwa kama uudwaji wake na vilevile wananchi wengi wa Tanzania kutokuwa na uelewa kuhusu haki zao
Mambo hayo yalielezwa na moja ya wafanyakazi wa Takukuru Dodoma Bwana Zakaria Mwandumbya alisema haya katika mkutano wa Africa Peer Review Mechanism.
NOTI MPYA KUANZA KUTUMIKA FEBRUARI MOSI, 2025
-
Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya
za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mh...
56 minutes ago
No comments:
Post a Comment