Wanaharakati wajipanga kuwafikisha madaktari mahakamani
Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Tanzania wapatao 36 wamejiunga pamoja kwa nia ya kukerwa kwa kitendo cha madaktari kwa kugoma kutoa huduma na kuamua kuwachukulia hatua za kisheria juu ya watu waliopoteza maisha yao kipindi cha mgomo huo
Wanaharakati hao wakiongozwa namwenyekiti wao bwana Godfrey Mosha kutoka Mufundi invironmental Trust akiongea na waandishi wa habari jana akisema madaktari waliogoma inabidi wachukuliwe hatua za kisheria kuwa fundisho kwa wale wote wenye mpango wa kufwata nyayo zao.Alieleza tume au baraza hilo linahusisha inahusisha wanasheria,wanamazingira na madaktari wastaafu ambao walishuudia watu wengi wakipoteza maisha.Wakati huo madaktari wakitia sahii kwenye vitabu bila ya kufanya kazi na kupokea mshahara mwisho wa mwezi.Tume yetu ipo katika harakati ya kufungua kesi mahakama kuu juu ya madaktari wote aliohusika katika mgomo.Vilevile alisihi wanajamii kuwaunga mkono juu ya kitendo hichi cha ukatili
KARATU YAFIKIWA NA ELIMU YA FEDHA
-
Na. Saidina Msangi, WF, Karatu, Arusha
Wananchi wa Wilaya ya Karatu jijini Arusha, wametakiwa kuhakikisha kuwa
wanatumia Taasisi za fedha zilizosajiliwa am...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment