Ni nzuri,lakini ni sawa!!!
Huu ni ukuta wa nyumba za Mlimani City uliopo maeneo savei,ambapo umeonekana ukiwa umechorwa maandishi mbalimbali yenye maana tofauti.Hii ni moja ya sanaa iliyopendwa sana na vijana hususani walio katika muziki ya HipHop.Sanaa hii imetumika kuelimisha na kuburudisha watu mbalimbali ikiwepo vijana wazee na watoto pia.
Je?Sanaa hii imefanywa katika mahala husika?Uongozi wa sehemu hiyo wanajua kuhusu hili?
Jambo linaweza likawa sawa lakini halikufanyika mahali husika,ambapo itatoa dhana na maana yote ya jambo hilo.
No comments:
Post a Comment