School na skuli
Wakati wengine wengine wakiwa kwenye school
Hawa wanagombania daladala huku konda kashapiga mkwara
Na hawa wakijifariji kwa kusubiria kama watapata usafiri
Yote tisa,kumi wote wanafika shuleni na kupata elimu ileile..
No comments:
Post a Comment