Jumamosi ya April 14 2012 kutakuwa na mechi ya kirafiki kati ya Wasanii wa filamu Bongo Movie.Lengo la mechi hiyo ni kuchangia Twiga Stars,timu hiyo ya wanawake iliyo katika mchujo wa Kombe la Afrika la wanawake(AWC).Michuano hiyo itafanyika nchini Equatorial Guinea mwezi Novemba ya mwaka huu.
Aidha asilimia mbili ya kitakachopatikana kwenye mechi kiyo ya kirafiki itapelekwa kwenye familia ya aliyekuwa msanii wa filamu Nje na Ndani ya Tanzania Marehemu Steven Kanumba.
Kiingilio kitakuwa 10,000 kwa VIP A, 5,000 kwa VIP B na C na 2000 kwa viti vya rangi ya kijani,blue na chungwa
Mechi itaanza mishale ya saa 10 jioni..
Wote mnakaribishwa.
Serikali, Wadau Waimarisha Mikakati ya Kupunguza Msongamano wa Magari Dar
es Salaam
-
Na Mwandishi Wetu
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Shirika
la Reli Tanzania (TRC) inaendelea kutekeleza mpango wa kuje...
4 minutes ago




No comments:
Post a Comment