
Maneno hayo yalitamkwa baada ya Kiongozi wa Upinzani Mh.Freeman Mboye mbunge wa jimbo Hai katika kipindi cha kumuuliza waziri mkuu maswali.
Vile vile alimtaka ahakikishie wananchi wa Tanzania kuwa watapewa huduma zao za kiserikali richa ya kuwa wamechagua chama kingine na sio tawala.
Aidha Mh.Mboye alitaja baadhi ya majina ya Mawaziri ambao walitoa kauli kama hizo kipindi cha Uchaguzi mdogo wa Igunga na Arumeli.Kutishia wananchi kuchagua chama tawala,aidha wasipo chagua watakosa huduma muhimu za kiserikali
Aliendelea na kutaja baadhi ya majina ya mawaziri hao akiwemo Mh.Marry Nagu,Mh.John Magufuli na wengine kadha wa kadha.
No comments:
Post a Comment