
Aidha siku za nyuma Mheshimiwa Raisi alichagua watu wachache watakao wakilisha wananchi katika mchakato huu wa kuteneneza katiba mpya.Huku Zanzibar ikiwakilishwa na wajumbe wawili,na wananchi hao hawakutoa mashaka yoyote na wateule hao wa kuwawakilisha.
No comments:
Post a Comment