Mamlaka ya Hali ya hewa imetangaza Mawimbi ya Tsunami yatafika Dar Es Salaam Saa Tatu na dakika hamsini na tisa,Huku upande wa Zanzibar ikifika saa Mbili dakika Hasini na Tano.Ukubwa wa mawimbi utakuwa ni mita moja na nusu,Aidha shughuli za Usafirishaji kwa njia ya Pantoni sasa unaendelea mpaka itakapofika mida ya saa tatu na dakika Hamsini na tisa.
Vilevile wakazi waishio karibu na ufukwe wa bahari kuyahama makazi yao na kuwa mbali kidogo na maeneo hayo kwa usalama wa maisha yao.
ILA NYIE CCM NI NOMA SANA, YAANI UBAYA UBWELA
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
NILIKUWA Najiongelesha tu kichwani kuhusu hii CCM basi nikajikuta nacheka
tu,ndio kununa siwezi. CCM kwa jinsi walivyo hawa ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment