Masanii wa filamu Elizabeth Michael ali maarufu kama Lulu anayetuhumiwa katika mauaji ya Msanii mwenzake wa Filamu Steven Kanumba leo amefikishwa Mahakama ya Kisutu kusomewa kesi inayomkabili.
Aidha waandishi wa habari hawakuweza kushuhudia tukio hilo na hata kumuona kutokana na kuwa chini ya Ulinzi mkali.
Aidha kesi hiyo itasomwa tena tarehe 23 Aprili ya mwaka huu 2012...
Waziri Jafo akagua maandalizi miaka 60 ya CBE
-
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo ametembelea Chuo cha Elimu ya
Biashara (CBE) kuangalia maandalizi ya sherehe za miaka 60 t...
44 minutes ago
No comments:
Post a Comment