Photobucket

Wednesday, April 11, 2012

Hali ya hewa ya leo

Mamlaka ya Hali ya hewa Tanzania imetangaza kuwepo kwa upepo mkali aina ya Tsunami maeneo ya pwani za bahari ya Hindi.
Aidha wananchi wanaoishi maeneo ya ukanda wa Bahari na wanaofanya shughuli mbali mbali kama usafiri na uvuvi kusitisha shughuli hizo ili kunusu maisha yao.
                        Hivi ni jinsi anga la baadhi ya maeneo ya Dar Es Salaam linavyooneka

Wale ndugu zangu tunaoishi Mabondeni hebu tuhame na sisi,maana hatujui ni kiasi gani hii mvua itanyesha.
Shughuli za usafirishaji za Pantoni eneo la kigamboni zimesitishwa mpaka sasa na wavuvi pia wameshauriwa kutofanya shughuli zao kwa muda huu.Saa kumi na moja ndio saa linalotarajiwa kwa Tsunami hiyo itatokea.
Tuombe Mungu atusaidie na kutuepusha na Balaa hilo.

No comments:

Post a Comment