Kompyuta za Macintosh zilizojizolea umaarufu mkubwa baada ya sifa zake kuwa haziingii virusi,Hivi majuzi imetangazwa kuwa kumpyuta zaidi ya nusu milioni za kampuni hiyo zimeingiwa na virusi.
Virusi hivyo vilivyotengenezwa rasmi kuathiri machine zote za kampuni ya Apple.
Aidha imeelezwa kwamba wataalamu wengi waliobobea kwenye kutengeneza virusi vya kuathiri kompyuta sasa wameelekeza nguvu zao nyingi kwenye kushambulia mashine za kampuni ya Apple.
SERIKALI YAWAONDOA HOFU WAZAZI KUHUSU MTAALA MPYA WA ELIMU MSINGI 2027...
-
NA WILLIUM PAUL, ROMBO.
SERIKALI imejipanga kikamilifu kutekeleza mikakati ya kuhakikisha wanafunzi
wanaomaliza darasa la saba (mtaala wa zamani) na wale ...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment