Photobucket

Tuesday, April 10, 2012

Maendelezo ya yaliojiri kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu Kanumba 'The Great'

                                          Mwili wa marehemu Kanumba wakati unawasili

  Steve Nyerere akiwa ameshikiria Msalaba wa marehemu Kanumba akiwa na majonzi mazito,hii ni wakati wa kuelekea Makaburini kupumzisha mwili wa Mpendwa wetu Kanumba
                            Na viongozi wa Serikali nao walikuwepo akiwemo Naibu wa Rais Dkt Bilal

                             Ulinzi ukiwa unaimarishwa kuhakikisha mambo yanaenda sawa



                                          T shirts za Kanumba nazo ziliuzwa


                                            Msanii Kidum kutoka Kenya naye alikuwepo
Ni kweli kwenye wengi hapakosi kuwa na mengi,ya kufurahisha na kustaajabisha pia hebu jionee mwenyewe,yaliyotokea baada ya msanii wa Bongo Flava Diamond kuondoka eneo hilo la msiba
Huyo anayeonekana nyuma ya kisogo cha huyu jamaa ni Diamond kwa wingi wa watu na misukumo ya hapa na pale nilishindwa kumpata sawa sawa lakini wananchi au mashabiki wake walionekana wakimzonga na kumshangaa msanii huyo hali iliyoshangaza watu wengi na kuhisi inaweza ikawa ni mwizi ama ni vipi lakini kamera zetu zilipofika eneo la tukio lilimkuta Diamond akiwa anaondoka tuu eneo hilo la tukio.
Wananchi walitaka kuvunjana miguu kwa ajili ya kumuona msanii Diamond vile vile walikua wanatoa sauti kwa pamoja na kusema 'RAISI RAISI'.Kama ajiitavyo mwenyewe raisi wa wasafii

Haya mengine yakatokea ni baada ya kijana mmoja anayetuumiwa kuwa ameiba kioo cha gari ndogo aina ya Mark 2.

                                       Askari wa usalama wakiwa wanamuhoji kijana huyo
                                anayesadikika kuwa ameiba kioo cha gari hiyo aliyoegemea
                                         Hii ni sehemu ya kioo hicho kilichoibiwa

No comments:

Post a Comment