Hizi ni baadhi tuu ya picha zinazoonyesha tukio zima la kumuaga marehemu Steven Kanumba,nyingine zitafuata..
Wananchi wakiwa Njiani kuelekea viwanja vya Leaders Clud kumuaga marehemu Kanumba The Great
Wananchi wakijaribu kuruka sehemu yenye seng'enge ili mradi kuingia uwanjani humo na kushuhudia tukio zima.Gari iliyombeba marehemu Steven Kanumba
Ulinzi ukiimarika
No comments:
Post a Comment