Picha hii nimeipata Facebook |
Mashine nyingine hiyo, baada ile ya kwanza niliyo i rusha kipindi cha nyuma kilichopita,Ambapo ilisemekana ni gari la mtoto wa mmoja kati ya wafanyabiashara maarufu hapa nchini.
Hii gari ipo hapa hapa kwa Jakaya ukiangalia na plate namba zake ni zile zile zetu
Hii ni moja ya gari za bei mbaya duniani lakini sijui mbongo mwenzetu sijui nani,kakishusha
kitu,na unaona kinavyodai.
Kama shida na umaskini unao wewe na familia yako wengine wanakula maisha bana...
No comments:
Post a Comment