Leo kuamkia asubuhi,Maeneo ya Ubungo polisi wa kutuliza ghasia waliibuka maeneo ya Ubungo karibia na mitambo ya kuzalisha umeme.Na kuanza kurusha mabomu kwa wafanya biashara wote wanaofanya shughuli zao maeneo hayo hatari.Hata ivyo zoezi hilo lilifanikiwa na wananchi walikimbia eneo hilo,ingawa wengi wao waliumia kutokana na kukimbia wasipokujua.
Aidha jeshi hilo limesema huo ni mwanzo tuu,utaratibu huo utaendelea mpaka wananchi hao watakapo ondoka eneo hilo.Kwasababu linahatarisha maisha yao na taifa kwa ujumla.
Hatua hii imechukuliwa baada ya wananchi hao kukaidi maagizo waliyopewa ya kuondoka eneo hilo.
THPS yajiimarisha katika utoaji wa huduma mbalimbali
-
*Ni kwenye miradi ya Ukimwi,Kifua Kikuu,Uchunguzi wa Saratani ya Kizazi
Na Chalila Kibuda ,Michuzi TV
Shirika la Tanzania Health Promotion Support (THPS)...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment