Photobucket

Tuesday, April 3, 2012

Tanzania ni nchi yenye vikwazo vingi kwenye Umoja wa nchi za Afrika Mashariki

Katibu mkuu wa umoja wa nchi za Afrika Mashariki Bwn Richard Sezibera ameeleza hayo leo kweye ripoti yake,kuwa kati ya nchi hizo tano Tanzania inaongoza kwa vikwazo vingi vya kibiashara.
Nchi zinazifuata ni Kenya,Uganda na Burundi.Huku Rwanda ikiwa haina kikwazo chochote kile.
Aidha ripoti hiyo ilionyesha vikwazo vimekuwa vingi na inabidi kupunguza ili kufanikisha dhana na malengo ya umoja huo.
Madhara ya vikwazo hivyo ni kuchelewa kwa mizigo inayoagizwa nje ya nchi,kodi mbalimbali na gharama za usafirishaji n.k

No comments:

Post a Comment