Photobucket

Wednesday, April 4, 2012

Sababu ya wanafunzikufeli

Nimeikuta hii facebook,nimeona niiblogishe na tujadiliane

KWA NINI WANAFUNZI WANAFELI ?

Ukweli ni kwamba wanafunzi wengi wanafeli mitihani yao ya ama shule,vyuo na sehemu nyinginezo kutokana na mwaka kuwa na siku 365 tu.Hii inatokana na kuwa mwaka una siku 365 na academic nyingi kwa wanafunzi ni siku 365.

NIfuate uone mnyumbuliko wa siku katika mwaka mzima.
...
1. Jumapil 52, kama unavyojua jumapili ni siku ya kupumzika mwanafunzi anatakiwa apumzike.

Zimebaki siku 313.

2. Kiangazi siku 50 kunakuwa na joto kali (summer time)na hapa wanafunzi inakuwa ni vigumu kusoma
Zimebaki siku 263.

3. Masaa 8 ya kulala-ina maana jumla ya siku 122 kwa mwaka.
Zimebaki 141.

4. Saa 1 la kucheza kila siku (kwa afya nzuri)Jumla ya 15 kwa mwaka.

Zimebaki siku 126.

5. Masaa 2 ya kula kuanzia breakfast hadi dinner kwa mwaka ni sawa na siku 30

Zimebaki siku 96

6. Saa 1 la kuongea na kusociallize na wengine ikiwa na classmate,roommates na familia kama bado uko home ni Siku 15 kwa mwaka mzima.

Zimebaki 81

7.Mitihani karibia siku 35 kwa mwaka mzima ikiweno assignments,mazoezi ya kawaida mitihani ya semester na vitu kama hivyo

Zimebaki siku 46.

8. Masikukuu yote ya mwaka kama chrismas,easter,New year,karume day,nyerere day,farmers day,may day,valentine na zote unazozijua kama siku 40 kwa mwaka.

Zimebaki siku 6

9. Kwa kuumwa mwanafunzi,kumsaidia mzazi au mwanafamilia kuuguza fanya kama siku 3

Zimebaki siku 3

10. Kuungalia movies na functions nyingine kama siku 2 kwa mwaka mzima

Imebaki siku 1

11. That 1 day is your birthday. "Utasomaje siku yako ya kuzaliwa?"

Balance days 0

"How can a student PASS???

Naomba tujadili tukitoa sababu!

No comments:

Post a Comment