Msanii wa Bongo Fleva Mark 'Makamua' Paul leo 29 April 2012 ameandika Facebook kuwa yeye na pombe basi tena..
Hivi ndivyo alivyoandika "ninapenda kusema kuwa ninafuraha kwa maamuz yangu ya kuacha kilevi cha aina yoyote,4sake f my life n my family!!may God helpmi koz peke yangu ctaweza.mwendo wa vitu vitamu tuh na vyakutoa shavu ha ha ha!"
Haya kaka,all the best..
Piga Mkwanja na Meridianbet Leo
-
JE unajua kuwa siku ya leo unaweza ukapiga mkwanja wa uhakika na
Meridianbet?. Mechi kibao kuendelea huku nafasi ya wewe kuondoka na mzigo
wa kutosha iki...
1 day ago




No comments:
Post a Comment