Photobucket

Monday, April 2, 2012

Wahandisi kupewa Tuzo za ubora

Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya TCIA Bwn Josephat Nakapape ameeleza kuwa kutakuwa na utoaji wa Tuzo mbali mbali kwa Wahandisi,wasanifu na wajenzi wa viwanda.Katika kukubali kazi nzuri wanazozifanya.Tuzo hizo zitaleta mukali kwa utendaji kazi,ubora na umakini katika sekta hiyo.Aidha na kufungua nafasi kwa wawekezaji kuja na kuwekeza katika nchi yetu.
Kwa mujibu wa Dkt.Victor Muchuza(TCIA),Tuzo hizo zimegawanywa kutokana na gharama na aina ya miradi
"Tuzo zipo kwa miradi yote iliyofanyika nchini Tanzania kwa mhandisi wa ndani na nje pia"Aliongezea.

No comments:

Post a Comment