Bosi wa ligi ya uingereza atoa ufafanuzi kuhusu hotuba yake

Alieleza kuwa yeye ni mtu mwenye maneno mapana ambapo anaweza elezea kitu na kikaeleweka tofauti,Aidha alieleza kuwa ameandika barua kwa raisi wa FIFA na UEFA kuomba radhi kwa alicho kisema kwakuwa hakuwa na dhamira yoyote ya kuleta tafrani yoyote.
No comments:
Post a Comment