Matatizo yanayoikumba sekta ya Elimu
Matatizo yanayoikumba sekta ya elimu yameonekana kama ni ishara mbaya kwa nchi huko mbeleni kama hayatashughulikiwa.Hayo yamesemwa na mratibu wa Tanzania Education Network(TEN) Helima Mangele katika mkutano wa tano wa elimu bora uliofanyika Dar Es Salaam
Alisema kuna changamoto mbalimbali zinazokabili sekta hiyo ya Elimu ikiwemo uchache wa walimu,vitendea kazi pamoja na miundo mbinu.Aidha alieleza kuwa serikali inadhamira ya kukuza elimu kwa kuongeza shule ambayo hiyo itasaidia kuongeza elimu ya sekondari kwa wananchi.Alisema serikali imefanikiwa kufanya hivyo lakini bado kuna changamoto zinazoikabili sekta hiyo kama ukosefu wa walimu na miundombinu
RAIS WA BURUNDI AMFARIJI RAIS SAMIA KIZIMKAZI ZANZIBAR
-
Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, akimfariji Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, nyumbani
kwake...
1 week ago



No comments:
Post a Comment